Vitate ni maneno mawili au zaidi yanayofanana kwa sauti lakini hayana maana sawa. Hii hapa ni mifano 50 ya vitate.
Mifano ya vitate
- Fahali na fahari
- Ndoa na doa
- Kalamu na karamu
- Mahali na mahari
- Baba na papa
- Chakula na chakura
- Kula na kura
- Shida na shinda
- Vaa na faa
- Futa na vuta
- Povu na bovu
- Kucha na kuja
- Bibi na pipi
- Mbwa na mpwa
- Janga na changa
- Masishi na mazizi
- Pesa na beza
- Kazi na Kasi
- Punda na bunda
- Ndevu na ndefu
- Vundo na fundo
- Pora na bora
- Susu na zuzu
- Fahali na fahari
- Mahali na mahari
- Kali na ghali
- Panda na banda
- Shaka na chaka
- Shoka na choka
- Daka na taka
- Mtutu na mdudu
- Mkuu na mguu
- Saa na zaa
- Soga na soka
- Sima na zima
- Kibubu na kipupu
- Saibu na shaibu
- Chua na jua
- Nje na Je
- Ama na Hama
- Bata na Pata
- Chini na jini
- Choka na joka
- Dada na tata
- Doa na toa
- Dua na tua
- Dumia na tumia
- Fuja na vuja
- Ndani na dani
- Goma na koma
One response to “Mifano 50 ya vitate”