Hapa tuna vichekesho na memes za Kiswahili na Sheng. Hizi vichekesho ni za kukufurahisha pia unaeza tumia kama status.
Vichekesho na memes za Kiswahili na Sheng
Bro usikii kidogo niende church sato but nikakumbuka mimi ni wa SDA

Kuringa nayo utaringa lakini nayo kwa choo utatoa suruali

ati ulisema babangu alirudia class 2 juu ya kukula githeri

Coolkids watafikiria ni mtego inatengenezwa

Oyaa Ongeza nyama sherehe ni yako ama ya Barasa?

Wakikuambia order we sema chapo beans wadhani umechizi

Ukiambiwa storage full ulikuwa undelete Bible app…hata sisi hakuna space mbiguni…

Sometimes kutetea techno ni ngumu eti 105%/

Am a Man..tunaeza enda kwangu tukae United

Sikia hii ng’ombe “Eti kumuona daktari Elfu 30”, kwani yuko uchi!

Hakuna ya deni, na ukikufa?

Hello boss, ni kama tulieka mafuta ya ndege leo, hebu ingia WhatsApp kidogo

Mbona umeandika jina yangu na biro ya red, unataka kuniua?

Na huyu kijana tulikua tunamwambia Kila siku aendeshe nduthi polepole but hakusikia

Kwangu sina table lakini nikipika chakula nina meza

Wewe ndo ulitoa sadaka ya bob alafu ukasema huwezi guza pesa ya mzinga

bro….huyu lec anasema nini? Kwani anaongea

..huyo dem amechukua 3k si waiter hapa?

Aviator ikijaribu kuenda na pesa ya Mkamba

Ukipendwa pendeka, mapenzi ikizidi, shika mimba ubaki na copy

Nani huyo ameshout Vera Sidika kwa darasa yangu

fresher atadhani comrade anafanya somersault kumbe anareverse food
alikula jana usiku

Andika insha ukianzia na……… Nilipofika nyumbani, nilipata mama amepigwa na butwaa…… (endelea)….nikakimbia mpaka kwa akina butwaa.Nikamuuliza “Butwaa bona umepiga mamangu?” Nikampiga butwaa mpaka akatokwa na damu. Hapo ndipo niligundua damu ni mzito kuliko maji!!!

Kulingana na utafiti
- Huwezi hesabu nywele zako
- Huwezi ona maskio yako
- Huwezi pumua ulimi ikiwa njee
- Najua umejaribu Number three
- Umeona unaweza lakini unakaa fala
- Umecheka adi ukasahau Number four
- Najua umerudi kuangalia number four shenzi kabisa

Leo Kanisani mambo yamenoga hadi mchungaji akasema mchezaji bora atarudi nyumbani na sanduku la sadaka, nilivyo sikia hivyo nikazidisha kukiwasha

Vile umeenda kupima ukimwi, wakati ukiwa unasubiria majibu alafu usikie madaktari Wakisema “alafu bado ni kijana mdogo sana jamani.!”

One response to “Vichekesho vya Kiswahili (memes za Swahili na Sheng)”