Kuma in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya kuma katika Kiswahili

Kuma ni uwazi uliopo katika mwili wa binadamu mwanamke au wanyama jike katikati ya kinena, uchi wa mwanamke.

Kisawe cha kuma ni uke.

Kuma in English

Kuma in English ni vagina. Ufafanuzi wa vagina in English ni:

“the muscular tube leading from the external genitals to the cervix of the uterus in women and most female mammals.”

Majina mengine ya kutafsiri kuma in English ni:

  • vulva
  • front bottom
  • lady parts

Vagina in Kiswahili

Vagina in Kiswahili is translated as uke ama kuma.

Comments are closed.