karafuu - cloves

Cloves in Swahili

Cloves meaning

A small, dark brown dried flower of an evergreen tree (one that never loses its leaves), used as a spice.

Cloves in Swahili

Cloves in Swahili ni karafuu.

Maana ya karafuu

Karafuu ni zao la mkarafuu ambalo kikonyo chake hutumiwa kutengenezea mafuta yanayotumiwa kama dawa ya meno na ama hutiwa ndani ya sigara au chakula kama kiungo.

Karafuu ni viungo vinavyotumika sana katika vyakula vya Swahilini, vinaongeza harufu nzuri na ladha kali kwenye chakula. Kwa kawaida hutumiwa katika kitoweo kitamu, wali, nyama, na hata vinywaji kama chai.

2 responses to “Cloves in Swahili”

Related Posts