Maneno yenye sauti /dh/ na /th/

Maneno ya sauti /dh/ na /th/ hutamkwa kwa kukutanisha ncha ya ulimi na meno ya juu.

Haya ni maneno ya Kiswahili yenye sauti /dh/ na /th/

Maneno yenye sauti dh na th

Maneno yenye sauti /dh/

  1.  dhaa
  2. dhabihi
  3. dhabihu
  4. dhahabu
  5. dhahabughafi
  6. dhahania
  7. dhahari
  8. dhahi
  9. dhahiri
  10. dhaifu
  11. dhakari
  12. dhaki
  13. dhalala
  14. dhalhia
  15. dhalili
  16. dhalilisha
  17. dhalilishi
  18. dhalimu
  19. dhamana
  20. dhamani
  21. dhambi
  22. dhamini
  23. dhamira
  24. dhamiri
  25. dhamiria
  26. dhana
  27. dhanagande
  28. dhanaisha
  29. dhani
  30. dhanifu
  31. dhanio
  32. dharaa
  33. dharau
  34. dhariha
  35. dhariri
  36. dharuba
  37. dharura
  38. dhati
  39. dhiba
  40. dhibiti
  41. dhidi
  42. dhifa
  43. dhihaka
  44. dhihaki
  45. dhihiri
  46. dhihirika
  47. dhihirisha
  48. dhihirisho
  49. dhii
  50. dhiisha
  51. dhiki
  52. dhikiri
  53. dhikisha
  54. dhila
  55. dhilhaji
  56. dhili
  57. dhilifu
  58. dhilikaadi
  59. dhima
  60. dhiraa
  61. dhiyaa
  62. dhofulhali
  63. dhoofika
  64. dhoofisha
  65. dhoofu
  66. dhoruba
  67. dhuha
  68. dhuhuri
  69. dhuku
  70. dhukuria
  71. dhukuru
  72. dhulhaji
  73. dhuli
  74. dhulihija
  75. dhuluma
  76. dhulumu
  77. dhumna
  78. dhunubu
  79. dhuria
  80. dhurika
  81. dhuru
  82. dhurubu

Maneno yenye sauti /th/

  1. thakala
  2. thakili
  3. thakilisha
  4. thalathini
  5. thama
  6. thamani
  7. thamanini
  8. thamini
  9. thamra
  10. thaura
  11. thawabu
  12. theluji
  13. theluthi
  14. themanini
  15. themometa
  16. Thenashara
  17. thenashara
  18. thibiti
  19. thibitika
  20. thibitisha
  21. thibitisho
  22. thieta
  23. thineni
  24. thiolojia
  25. thori
  26. thubutu
  27. thubutu!
  28. thuluthi
  29. thumni
  30. thurea

2 responses to “Maneno yenye sauti /dh/ na /th/”

Related Posts