Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza – Majina Yote Mazuri ni Yako lyrics
Majina yote mazuri ni yako lyrics
Majina yote mazuri ni yako, eh
Johava Muumbaji wangu
Nikupe jina gani, kwani kila
Lakiheri ni upekee wako
Majina yote mazuri ni yako, eh
Johava Muumbaji wangu
Nikupe jina gani, kwani kila
Lakiheri ni upekee wako
Majina yotee!
Majina yote mazuri ni yako, eh
Johava Muumbaji wangu
Nikupe jina gani, kwani kila
Lakiheri ni upekee wako
Nikupee jina gani!!!
Nikupe jina gani, kwani kila
Lakiheri ni upekee wako
Majina yoteee!!!!
Majina yote mazuri ni yako, eh
Johava Muumbaji wangu
Nikupe jina gani, kwani kila
Lakiheri ni upekee wako
Umeniponyaaa!
Umeniponya nakuita Jehova
Rapha Mungu, Mponyaji Wangu
Umenikoaaa!!
Umeniokoa nakuita Mwokozi
Bwana Mungu wa wokovu wangu
Umenipigania!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi bendera ya ushindi wangu
Umeniponya!
Umeniponya nakuita Jehova
Rapha Mungu, Mponyaji Wangu
Umeniokoa!
Umeniokoa nakuita Mwokozi
Bwana Mungu wa wokovu wangu
Umenipigania Yesu!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi Bendera ya ushindi wangu
Umenipigania!!!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi Bendera ya ushindi wangu
Usifiiiiweee!!!
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Umenifanyaaaa!!
Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka
ili nami nibariki
Nimekupata wewe nami nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Ujumbe wa majina yote mazuri ni yako
- Mungu ni mwema na muweza wa yote. Wimbo huu unamsifu Mungu kwa wema, nguvu, na upendo wake.
- Mungu ndiye mponyaji na mwokozi wa watu wote. Wimbo unamsifu Mungu kwa uponyaji na mwokozi wa watu wote.
- Mungu ndiye mtoaji na mlinzi wa watu wote. Wimbo huu unamshukuru Mungu kwa kutimiza mahitaji yetu na kutulinda na kutoka kwa madhara.
- Mungu ndiye kiongozi. Wimbo huo unasema kwamba Mungu ndiye mchungaji na kiongozi wa watu wote, na kwamba anatutazama kama mboni ya jicho lake.
- Mungu ndiye chanzo cha baraka zote. Wimbo huu unasema kwamba Mungu amemfanya mwimbaji kuwa baraka kwa wengine, “Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka” na “kwamba ameujaza moyo wa mwimbaji na wema”.