Hapa utapata lyrics za wimbo wa Killy na Harmonize “Ni Wewe”. Mwishoni pia utapata maneno matamu ya mapenzi kutoka kwa huu wimbo.
Ni wewe lyrics
Turururu ruru rurururuuu mmmnh…! mnh…!
Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende
Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende
Aah…! Jangwani pakavu umeota mtendee
Eeh…! Waubani waubavu sema wapi twendeee
Jua mapenzi ni siri iiiih yani toka enzi zile za mababu
Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuuh
Aaaaah chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu
Eeeeeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuuuh uuuh uh
Oooh baby you make me sing this song
Ni wewe ni we (ni weeeh)
Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)
Ni wewe (ooh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)
Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni
Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni
Aaaaah Halima kwa ajili yako ninajinyima
Penzi nishakatia na bima
Moyo wangu kata we ndo kisima mmmh baby baby
Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hata tabu kuinama
Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama
Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
I swear baby you make me sing this song
Ni wewe ni we (ni weeeh)
Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)
Ni wewe (ooh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)
Maneno matamu ya mapenzi kutoka kwa wimbo “Ni Wewe by Killy and Harmonize”
- Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende, maana nahisi nimezaliwa nije nikupende.
- Jua mapenzi ni siri tangu zile enzi za mababu, babe usije ukaghairi ukanipa tabu.
- Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni.
- Chuchuchu basi nipe hata kiduchu, sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu. – Mstari huu unaonyesha hamu ya mwili ya mwimbaji kwa mwenzi wake. Kwa wazi anavutiwa naye, na anataka kuwa karibu naye.
- Oooh baby you make me sing this song Ni wewe ni we (ni weeeh) Ni wewe (I don’t wanna do you wrong) Ni wewe (ooh baby ni wewe) – Mstari huu unaonyesha mapenzi ya kina ya mwimbaji kwa mwenzi wake. Anajua kwamba angepotea bila yeye, na yuko tayari kufanya chochote ili kuwa naye.