Ghorofa in English

Ghorofa ni nini katika Kiswahili

Ghorofa ni vyumba vilivyojengwa juu ya dari ya sakafu ya kwanza, pili, tatu na kadhalika

Mfano: Sisi tunaishi katika ghorofa ya kwanza.

Ghorofa in English

Neno “ghorofa” lina maana mbili kuu katika Kiingereza:

1. Storey: Hii ndiyo maana ya kawaida ya ghorofa, ufafanuzi katika Kiigereza ni; storey refers to a level within a building.

Mfano, “nyumba ya ghorofa mbili” would translate to “a two-story house.”

2. Apartment: “ghorofa” can also mean an apartment, particularly in a multi-story building.

Mfano, “ninaishi kwa ghorofa” would translate to “I live in an apartment.”

One response to “Ghorofa in English”

Related Posts