Magimbi/ nduma ni nini? – Maana ya magimbi katika Kiswahili
Magimbi pia hujulikana kama nduma ni mzizi wa kuliwa.
Ni sawa na viazi na viazi vikuu, lakini vina muundo wa kunata kidogo.
Magimbi in English
“Magimbi” au nduma in English inaweza kutafsiriwa kama vitu kadhaa tofauti kulingana na muktadha:
1. Taro: Magimbi in English ni taro. Ufafanuzi wa taro katika Kiingereza ni:
“Taro is a starchy root vegetable with a brown, scaly skin and a white, flesh inside.”
2. Arrowroot: “magimbi” can also refer to arrowroot, another starchy root vegetable with similar uses like taro root.
Arrow roots in Kiswahili
Arrow roots in Kiswahili ni nduma au magimbi
One response to “Magimbi in English”