Fundi in English

Maana ya fundi katika Kiswahili

Fundi ni mtu mwenye ujuzi wa ufundi fulani, mathalani uashi, useremala, utunzi na kadhalika

Mfano: Susan ni fundi wa nguo.

Ni mtu afanyaye kazi za kiufundi kwa mfano za uashi, useremala, uhunzi na kadhalika.

Fundi in English

Neno “fundi” linaweza kuwa na maana kadhaa in English, kulingana na muktadha:

1. A skilled person: Hii ndio maana ya kawaida ya ‘fundi’ in English: Ufafanuzi katika English ni:

“A skilled person is someone who has the abilities needed to do an activity or job well.”

2. Technician: “Fundi” in English ni technician: Ufafanuzi wa technician katika English ni:

“a person employed to look after technical equipment or do practical work in a laboratory.”

“a laboratory technician”

  • an expert in the practical application of a science.
  • a person skilled in the technique of an art or craft.

3. Mechanic: Pia “fundi” in English ni mechanic. Ufafanuzi wa mechanic in English in:

“someone who repairs and maintains machinery.”  

One response to “Fundi in English”

Related Posts