Maana ya swala katika Kiswahili
Neno swala katika Kiswahili lina maana kadhaa:
1. Swala ni ibada katika dini ya KIislamu iliyo ya lazima kwa Mwislamu kama mojawapo ya nguzo tano za Uislamu.
2. Swala ni mnyama mwitu anayefanana na mbuzi.
3. Swala pia ni jambo lolote linalohitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi. Kisawe cha ufafanuzi huu ni “suala”.
Swala in English
Kwa hivyo neno swala in English lina maana tofauti kulingana na muktadha:
1. Muslim prayer: In Swahili, “swala” is most commonly used to refer to prayer, specifically the five daily prayers Muslims are required to perform. These prayers are:
- Fajr (dawn)
- Dhuhr (noon)
- Asr (afternoon)
- Maghrib (sunset)
- Isha (night)
2. Gazelle: Neno swala in English linaweza kutafsiriwa kama ‘gazelle’. Ufafanuzi wake katika Kiingerenza ni:
“a small, slender antelope that typically has curved horns and a fawn-coloured coat with white underparts, found in open country in Africa and Asia.”
3. Issue/Matter: Katika baadhi ya miktadha, “swala” in English pia inaweza kutumika kumaanisha: issue, matter, or problem. Ufafanuzi wa tafsiri hii katika Kiingerenza ni:
“an important topic or problem for debate or discussion.” Or “a subject or situation under consideration.”
Gazelle in Kiswahili
Gazelle in Kiswahili is swala.
One response to “Swala in English”