Kusuka in English

Kusuka ni nini? – Maana ya kusuka katika Kiswahili

Kusuka ni kupitisha chane au nywele kwa kupishanapishana kwa nia ya kuwa na mfumo fulani unaovutia.

Mfano ni: Kusuka nywele

Kusuka in English

Neno kusuka in English linaweza kutafsiriwa kama:

1. Weave – form (fabric or a fabric item) by interlacing long threads passing in one direction with others at a right angle to them.

– a hairstyle created by weaving pieces of real or artificial hair into a person’s existing hair, typically in order to increase its length or thickness.

2. To braid – a length of hair made up of three or more interlaced strands, form (hair) into a braid or braids.

Majina mengine ya kutafsiri kusuka in English ni:

  • plait
  • entwine
  • intertwine
  • interweave
  • interlace
  • interthread
  • criss-cross
  • knit
  • lace
  • twist
  • twine
  • wind

One response to “Kusuka in English”

Related Posts