mabati ya nyumba

Bati in English

Maana ya bati katika Kiswahili

Neno bati lina maana kadhaa katika Kiswahili:

1. Bati ni bamba la chuma lililo na mikunjo ambalo hutumiwa kuezekea mapaa ya nyumba.

2. Bati ni metali yenye rangi ya fedha ambayo aghalabu huchanganywa na metali nyingine kwa kazi mbalimbali au kutumiwa kufunikia au kukinga metali nyingine.

Bati in English

The Swahili word “bati” translates to tin in English. Kwa ujumla “bati” in English is any sheet metal, not just tin specifically.

Kwa hivyo kulingana na muktadha, bati linaweza pia kutafsiriwa kama:

Metal sheet – “Sheet metal is metal formed into thin, flat pieces, usually by an industrial process.”

Iron sheet (Mabati ya nyumba)– “a thin structural sheet made of iron or steel, formed with alternating ridges and troughs.”

Steel sheet – “Steel is a very strong metal which is made mainly from iron.”

One response to “Bati in English”

Related Posts