Maana ya kwikwi katika Kiswahili
Kwikwi ni sauti fupifupi ya kushtukashtuka kooni, ambayo mara nyingi inasababishwa na ugonjwa au kuingia hewa kwenye umio.
Visawe vya kwikwi ni:
- Chechevu
- Kekevu
Kwikwi in English
Kwikwi in English inamaanisha:
1. Hiccup – Hii ndiyo maana ya kawaida ya “kwikwi” na hutafsiriwa kama “hiccup” kwa Kiingereza. Ufafanuzi wa hiccup in English ni:
“an involuntary spasm of the diaphragm and respiratory organs, with a sudden closure of the glottis and a characteristic gulping sound.”
2. Sobbing – Katika baadhi ya mazingira, “kwikwi” pia inaweza kurejelea sobbing or sniffling in English, ambayo inahusiana na kulia kwa upole au kimya.
Hiccup in Kiswahili
Hiccup in Kiswahili is kwikwi, chechevu au kekevu