Maana ya katibu katika Kiswahili
Katibu ni mtu anayeandika na kuhifadhi maandishi ya shirika, chama ama kampni.
Mfano: katibu muhtasi, katibu mtendaji, katibu mwenezi, katibu myeka.
Kisawe chake ni mwandishi.
Katibu mkuu – Katibu mkuu ni ofisa mtendaji mkuu wa wizara au chama.
Mfano: Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha; Katibu mkuu wa Chama.
Katibu in English
Hii ndio tafsiri ya katibu in English:
1. Secretary – a person employed by an individual or in an office to assist with correspondence, make appointments, and carry out administrative tasks.
2. Clerk – a person employed in an office or bank to keep records, accounts, and undertake other routine administrative duties.
Secretary in Kiswahili
Secretary in Kiswahili ni katibu.
Majina mengine ya katibu in English ni:
- office worker
- clerical worker
- administrator
- administrative officer
- bookkeeper
- record keeper
- account keeper
- cashier
- teller
- babu
- pen-pusher
- scrivener
- scribe
Katibu mkuu in English
Katibu mkuu in English ni secretary general. Ufafanuzi wake kwa Kiingereza ni:
“a title given to the principal administrator of some organizations.”
Secretary General in Kiswahili
Secretary general in Kiswahili ni katibu mkuu.
One response to “Katibu in English”