Maana ya panga katika Kiswahili
Neno panga katika Kiswahili lina maana kadhaa:
1. Panga ni kuweka vitu kwa utaratibu mzuri.
Mfano: Baraka alipanga nguo zake ndani ya sanduku.
2. Panga ni kukaa kwa makubaliano katika nyumba au chumba cha kukodi.
Mfano: Juma amepanga kwa ile ghorofa.
3. Panga ni kufanya uhusiano fulani kwa mapatano.
Mfano: Panga urafiki, panga udugu.
4. Panga ni kukaa kinyumba, kaa ukiwa hawara.
5. Panga ni jisu kubwa.
Mfano: Mkulima alitumia panga kukata mti.
Panga in English
Hapa ni tafsiri ya panga in English kulingana na kila maana ya neno panga:
1. Panga ni kuweka vitu kwa utaratibu mzuri. – Panga hii in English itakuwa arrange. Ufafanuzi wake in English ni:
“Arrange is to put (things) in a neat, attractive, or required order.”
Majina mengine panga in English katika maana hii ni:
- put in order
- order
- set out
- lay out
- spread out
- array
- present
- put out
- display
- exhibit
- group
- sort
- organize
- tidy
- position
- dispose
- marshal
- range
- align
- line up
- rank
- file
- classify
- categorize
- systematize
- methodize
2. Panga ni kukaa kwa makubaliano katika nyumba au chumba cha kukodi. – Panga hii in English itakuwa rent a house. Ufafanuzi wake in:
“let or hire a house at a specified rate.”
3. Panga ni kufanya uhusiano fulani kwa mapatano. Panga hii in English itakuwa plan a relationship. (Pia ni maana sawa na kupanga ya kukaa kinyumba, kaa ukiwa hawara.)
4. Panga ni jisu kubwa. Panga hii in English itakuwa:
- Long knife – “It refers to a large, heavy knife with a long, straight blade, typically used for cutting wood, clearing brush, or as a weapon.”
- Machete – “a broad, heavy knife used as an implement or weapon, originating in Central America and the Caribbean.”
- Sword – “a weapon with a long metal blade and a hilt with a hand guard, used for thrusting or striking and now typically worn as part of ceremonial dress.”