Maana ya kitambaa katika Kiswahili
Kitambaa ni kisehemu cha gora la nguo cha kushonea mavazi, pazia, leso na kadhalika, vazi ghafi ambalo halijashonwa.
Kitambaa in English
Neo kitambaa can be translated into English as “fabric.” Ufafanuzi wa fabric in English ni:
“cloth or other material produced by weaving or knitting fibres.”
Hapa ni aina za vitambaa na tafsiri yake kwa Kiingereza:
- kitambaa cha pamba (cotton fabric)
- kitambaa cha sufu (wool fabric)
- Kitambaa cha kitani (linen fabric)
- Kitambaa cha nailoni (nylon fabric)
- Kitambaa cha kitani (linen fabric) n.k.
Fabric in Kiswahili
Fabric in Kiswahili is kitambaa.
2 responses to “Kitambaa in English”