Umeamkaje in English

Msemo wa Kiswahili umeamkaje ni njia ya kawaida ya kumsalimia mtu asubuhi. Tafsiri yake moja kwa moja in English inamaanisha ” how did you wake up?”, lakini mara nyingi in English hutumiwa kama ” good morning”.

Umeamkaje in English

Tafsiri ya Kiingereza ya umeamkaje ni “how did you wake up?” Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba hii ni tafsiri halisi (direct translation). Kwa kawaida au mara nyingi, umeamkaje in English hutumiwa kama salamu, na kwa hivyo umeamkaje in English ni “good morning”.

Hapa kuna mifano ya jinsi umeamkaje inaweza kutumika kwa Kiswahili na Kiingereza:

  • Umeamkaje? – Good morning!
  • Habari za asubuhi! Umeamkaje? – Good morning! How did you wake up?
  • Shikamoo! Umeamkaje? – Good morning! How are you doing?
  • Umeamkaje? Ulilala vizuri? – Good morning! Did you sleep well?
Related Posts