Sensa in English

Maana ya sensa katika Kiswahili

Sensa ni hesabu ya watu au wanyama walio katika eneo fulani ambayo hufanywa kila baada ya kipindi fulani.

Sensa in English

Tafsiri ya sensa in English ni census. Ufafanuzi wa census in English ni:

“an official count or survey, especially of a population.”

Mfano: Tanzania’s 2022 census counted over 60 million people. – Sensa ya Tanzania ya 2022 ilihesabu zaidi ya watu milioni 60.

Census in Kiswahili

Census in Kiswahili ni sensa.

Related Posts