kunguru - crow

Kunguru in English

Maana ya kunguru katika Kiswahili

Neno kunguru katika Kiswahili lina maana mbili:

Kunguru ni ndege mkubwa kiasi na mweusi au mmwenye baka jeupe kifuani au shingoni ambaye hulia kwa sauti kubwa na hula ndege wadogo.

Kunguru pia ni kitambaa chenye mistari ya rangirangi iliyosimama na kulala.

Kunguru in English

Maana ya kawaida ya kunguru in English ni crow or raven. Ufafanuzi wa crow in English ni:

“a large bird with mostly glossy black plumage, a heavy bill, and a raucous voice.”

Majina ya Kiingereza ya maana ya pili inaweza kuwa:

  • Chequered fabric
  • Checkerboard fabric
  • Plaid fabric
  • Zebra print
  • Leopard print
  • Tiger print
  • Gingham

Crow in Kiswahili

Crow or raven in Kiswahili is kunguru.

Related Posts