Introvert in Swahili (English to Swahili Translation)

Introvert in Swahili

Introvert in Swahili is mostly translated as mndani.

Mndani is pronounced as: m-n-DAH-ni.

Introvert definition in English

Someone who is shy, quiet, and prefers to spend time alone rather than often being with other people.

Examples of introvert in Swahili in sentences

Kwa sababu mimi ni mndani, sipendi kwenda kwenye sherehe mara nyingi. (Because I am an introvert, I rarely go to parties.)

Jane ni mndani ambaye burudani yake pekee ni kusoma. (Jane is an introvert whose only hobby is reading.)

Ingawa Emily ni mchangamfu anayependa kuchangamkia watu, pacha wake Emma ni mndani ambaye anapenda kuwa peke yake. (While Emily is an extrovert who enjoys socializing, her twin Emma is an introvert who prefers being alone.)

Mwalimu lazima ajitahidi zaidi kumvuta mndani katika majadiliano ya darasani. (The teacher has to try harder to involve the introvert in class discussions.)

Kwa asili yake, Jim ni mndani ambaye hutumia muda wake mwingi kuchambua matakwa na mahitaji yake mwenyewe. (By nature, Jim is an introvert who spends most of his time analyzing his own wants and needs.)

Daima mndani, Kim anakataa kila mwaliko wa sherehe anaopokea. (Always the introvert, Kim turns down every party invitation she receives.)

Kwa sababu Bill ni mndani ambaye hachangamkii watu wengine mara nyingi, alijisikia vibaya kwenye harusi ya dada yake. (Because Bill is an introvert who rarely socializes with others, he felt uncomfortable at his sister’s wedding reception.)

Ndugu yangu Johnny ni mndani ambaye anaweza kuhesabu marafiki zake wote kwa mkono mmoja. (My brother Johnny is an introvert who can count all his friends on one hand.)

Kwa kuwa mwandishi maarufu ni mndani ambaye anachukia mikutano ya kijamii, hahudhurii sherehe za tuzo zake mwenyewe. (Since the famous writer is an introvert who hates social gatherings, he does not attend his own award banquets.)

Kama mndani, Bridgett anafurahia kwenda kwenye sinema peke yake. (As an introvert, Bridgett enjoys going to the movie theater alone.)

Related Posts