Shujaa ni mtu mwenye ujasiri, mtu awezaye kukabili mambo ya hatari bila hofu.
Visawe vya shujaa ni: jasiri, nguli, nyamaume na jabari.
Kinyume cha shujaa
Kinyume cha shujaa ni mwoga au chuchu.
Mwoga ni mtu au mnyama anayeogopa mapambano.
Chuchu ni kuwa mwoga, asiye jasiri.