Kinyume cha neno beberu

Beberu ni mbuzi wa kiume.

Kinyume cha beberu

Kinyume cha beberu ni mbarika au dachia.

Mbarika ni mbuzi wa jike ambaye hajazaa bado.

Dachia ni mnyama yeyote jike ambaye amekomaa na anaweza kuzaa au kupata mtoto.

Related Posts