Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Vaa ni:
Kufunika mwili kwa nguo.
Weka mapambo katika sehemu ya mwili.
Mfano: Vaa saa, vaa mkufu, vaa ushanga, vaa pete.
Kinyume cha vaa ni vua.
Vua ni kuondoa nguo au mapambo yaliyovaliwa mwilini.
Mfano: Vua mtoto nguo isichafuke.