Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Twika ni inua kitu na kukibandika begani au kichwani.
Mfano: Mama alimtwika mtoto kuni kichwani.
Kinyume cha twika ni tua.
Tua ni weka kitu chini kwa mfano mzigo kutoka kichwani au begani.
Mfano: Juma alitua mzigo kutoka kichwani.