Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Injika ni bandika sufuria, chungu na kadhalika juu ya mafiga au jiko ili kupika.
Kinyume cha injika ni epua.
Epua ni ondoa chombo cha kupikia juu ya jiko au mafiga.