Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Kavu ni:
-siokuwa na majimaji, -liyokauka.
Mfano: Alipika chakula kavu.
Kinyume cha kavu ni majimaji.
Majimaji ni kitu kinachotiririka kama maji, damu au maziwa.
Mfano: Chakula chake ni cha majimaji.