Maana ya neno aalam
Aalam ni kivumishi.
Neno aalam hutumika katika muktadha wa dini.
(Mungu), mwenye kujua zaidi.
Mfano: Allahu ya aalam.
Aalam Katika Kiingereza (English translation)
Aalam katika Kiingereza ni: knowledgeable, all knowing.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…