Aalimu ni nomino katika ngeli ya [a-/wa-]
Wingi wa aalimu ni maalimu.
Neno aalimu linatumika katika muktadha wa dini.
Maana ya aalimu
1. Aalimu ni mtu aliye- bobea katika elimu dini ya Kiislamu.
2. (kama kivumishi) mwenye elimu kubwa ya dini ya Kiislamu.
Aalimu Katika Kiingereza (English translation)
Aalimu katika kiingereza anaweza tafsiriwa kama “Islamic scholar.”