Maana ya aathari na English translation

Maana ya aathari

Aathari ni nomino katika ngeli ya [i-/zi-], mabaki (yatokanayo) na vitu vya zamani vinavyohusiana na mila, utamaduni na desturi za watu wa jamii fulani.

Mfano: makaburi ya wafalme, nyumba, mahekalu, vigae vya vitu vya ufinyanzi n.k.

Aathari Katika Kiingereza (English translation)

Aathari katika Kiingereza ni “historical remains.”

Related Posts