Maana ya aazi na English translation

Maana ya aazi

1. (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), ni mtu wa thamani. Visawe ni: mwa- ndani, muhibu.

2. (Kkivumishi) -enye thamani. Kisawe ni bora.

Mfano: Fursa niliyopewa ni kitu aazi kwangu.

Aazi Katika Kiingereza (English translation)

Aazi katika Kiingereza ni: valuable, precious.

Related Posts