Maana ya neno abadani na English translation

Maana ya neno abadani

(Kitenzi) neno la kusisitiza jambo lililo- tajwa ambalo limekanushwa.

Visawe ni: hata kidogo, katakata, kamwe, asilani, katu.

Mfano: Sitakuja kwako abadani.

Abadani Katika Kiingereza (English translation)

Abadani katika Kiingereza ni: never.

Related Posts