Maana ya neno abedari
1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]) (bah) roda inayotumiwa kuvutia vitu kwenye jahazi. Kisawe ni kapi.
2. (Kielezi) neno la kumtahadharisha mtu. Visawe ni: simile!, kaa chonjo!
Abedari Katika Kiingereza (English translation)
Abedari katika Kiingereza hutegemea maana unayokusudia:
Abedari inayovuta vitu kwenye jahazi ni: Pulley.
Abedari ya kumtahadharisha mtu ni: Careful, warning, etc.