Maana ya neno abtad.i na English translation

Maana ya neno abtad.i

Abtad.i pia ni abutadi. (Kitenzi <ele>) alika kitu au shughuli.

Mfano:

Ninaabtadi safari yangu kwa kumwomba Mola.

Bismillahi n’abtadi ninaanza kwa jina la Mwenyezi Mungu.

Abtad.i Katika Kiingereza (English Translation)

Abtad.i katika Kiingereza ni: Begin, start.

Related Posts