Maana ya neno achan.a
Achan.a
1. (Kitenzi <sie>) tengana na mtu aghalabu mke na mume.
Mfano: Maganga na mkewe wame- achana.
2. Kuwa mbalimbali kwa vitu vilivyokuwa vimeshikana.
Achan.a
1. (Kitenzi <sie> ), jenga mbali baina ya mtu na mtu au na kitu.
2. Talikiana baina ya mtu na mtu au baina ya mume na mke.
Achan.a Katika Kiingereza (English translation)
Achan.a katika Kiingereza ni: Separate, divorce.