Maana ya neno achari
(Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), mchanganyiko wa matunda pamoja na chumvi na pilipili ambao hutumiwa kukipa chakula ladha.
Achari Katika Kiingereza (English translation)
Achari katika Kiingereza ni: Chutney.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…