Maana ya neno ache!
(Kihisishi), neno la kumtakia mtu heri wakati wa sherehe.
Mfano: Ache wana!
Ache Katika Kiingereza (English translation)
Ache katika Kiingereza ni: Good luck!, (The) best of luck!
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…