Maana ya neno achik.a
(Kitenzi <sie>), pewa talaka, talikiwa.
Mfano: Baluli ameachika baada ya kugombana na mumewe kwa sababu ya ulevi.
Achik.a Katika Kiingereza (English translation)
Achik.a katika Kiingereza ni: To be divorced.
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…