Maana ya neno adhimisha na English translation

Maana ya neno adhimisha

Matamshi: /aðimisha/

(Kitenzi elekezi)

Maana: fanya sherehe kwa ajili ya kukumbuka tukio au jambo fulani lililopita. Mnyambuliko wake ni: → adhimishia, adhimishiana, adhimishika, adhimishiwa, adhimishwa.

Adhimisha Katika Kiingereza (English translation)

Adhimisha katika Kiingereza ni: commemorate, celebrate.

Related Posts