Maana ya neno adi na English translation

Maana ya neno adi

1. (Kitenzi si elekezi) sindikiza mtu kabla ya kumuaga. Mnyambuliko wake ni: → adia, adika, adisha, adiwa.

2. (Nomino katika ngeli ya [a-wa]), mwana wa mtu fulani.

Adi Katika Kiingereza (English translation)

Adi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Adi (sindikiza mtu) ni: accompany, escort

Adi (mwana wa mtu fulani) ni: child, kid etc.

Related Posts