Maana ya neno adimu na English translation

Maana ya neno adimu

Matamshi: /adimu/

(Kivumishi)

Maana: iliyo haba au shida sana kupatikana; chache sana. Kisawe chake ni nadra.

Mfano: Korosho zimekuwa adimu kwa sababu si msimu wake.)

Adimu Katika Kiingereza (English translation)

Adimu katika Kiingereza ni: rare, scarce.

Related Posts