Maana ya neno advansi na English translation

Maana ya neno advansi

Matamshi: /advansi/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. malipo ya mwanzoni anayopewa mtu kabla ya ya kumaliza kazi wakati wake au kabla aliyopangiwa.

2. malipo ya katikati ya mwezi.

Advansi Katika Kiingereza (English translation)

Advansi katika Kiingereza ni: advance, down payment.

Related Posts