Maana ya neno afikiana na English translation

Maana ya neno afikiana

Matamshi: /afikiana/

(Kitenzi si elekezi)

Maana: patana au fikia makubaliano juu ya jambo fulani.

Mnyambuliko wa afiki → afikiania, afikianika, afikianisha.

Afikiana Katika Kiingereza (English translation)

Afikiana katika Kiingereza ni: agree with each other, coincide, concur, consent etc.

Related Posts