Maana ya neno afkani na English translation

Maana ya neno afkani

Matamshi: /afkani/

Nomino katika ngeli ya [a-wa])

afkani 1

Maana: mtu mwenye kasoro ya akili. Kisawe chake ni: punguani, mwehu.

afkani 2

Nomino katika ngeli ya [i-])

Maana: maradhi yanayosibu moyo na kumfanya mtu awe mahututi au taabani.

Afkani Katika Kiingereza (English translation)

Afkani katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Afkani 1: insane person, madman.

Afkani 2: heart disease.

Related Posts