Maana ya neno afriti na English translation

Maana ya neno afriti

Matamshi: /afriti/

Wingi wa afriti ni maafriti.

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Maana:

Afriti 1

1. jitu linaloshawishi watu kutenda mambo ya kishetani au maovu.

2. jitu laghai au janja.

Afriti 2

1. jini ovu lenye kuwasababishia watu madhara.

Afriti Katika Kiingereza (English translation)

Afriti katika Kiingereza ni: demon, jinn.

Related Posts