Maana ya neno afwaji na English translation

Maana ya neno afwaji

Matamshi:  /afwaji/

(Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Wingi wa afwaji ni maafwaji.

 Maana:

1. mkusanyiko au kundi la watu.

2. kikosi cha watu waliobeba silaha.

Afwaji Katika Kiingereza (English translation)

 Afwaji katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Afwaji (kundi la watu) ni: crowd, group.

Afwaji (kikosi cha watu waliobeba silaha) ni: troop, armed group.

Related Posts