Maana ya neno afyuni na English translation

Maana ya neno afyuni

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: Dawa ya kulevya ambayo huwa vidonge vinavyotokana mmea fulani. Kisawe chake ni: mihadarati.

Mfano: Biashara ya afyuni ni haramu.

Afyuni Katika Kiingereza (English translation)

Afyuni katika Kiingereza ni: opium.

Related Posts