Maana ya neno aghlabu na English translation

Maana ya neno aghlabu

Matamshi: /aylabu/

(Kielezi)

Maana: mara nyingi au marudio ya mara kwa mara. Visawe vyake ni: kwa kawaida, aghalabu.

Aghlabu Katika Kiingereza (English translation)

 Aghlabu katika Kiingereza ni: often, frequently

Related Posts