Maana ya neno agizo na English translation

Maana ya neno agizo

Matamshi: /agizɔ/

Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Wingi wa agizo ni maagizo.

Maana:

1. shurutisho au amri itolewayo kwa mtu au kundi kufanya jambo.

2. maelekezo yanayostahili kuzingatiwa.

Agizo Katika Kiingereza (English translation)

Agizo katika Kiingereza ni: order, command.

Related Posts