Maana ya neno ago na English translation

Maana ya neno ago

Matamshi: /agɔ/

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Wingi wa ago ni maago.

ago 1

Maana: mahali wanapokaa watu kwa kipindi fulani cha wakati kupumzika.

ago 2

Maana: sehemu ya mwili iliyo kati ya goti na nyonga.

Ago Katika Kiingereza (English translation)

Ago katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Ago ya mahali pa kupumzika ni: resting-place, harbor,  haven, campsite, etc.

Ago ya mwili ni: thigh.

Related Posts